Msaada: Nimeandika barua ya kuacha kazi naambiwa natakiwa nimlipe mwajiri

Kwanza nimsifu aliye kujibu ,,amekujib majibu mazur Sana,

Sheria ya ajira na mahusiano kazini inasema HV mfanykaz kam ataach kaz ndan ya masaa 24 anawajibika kuaacha mshahar ah kumlipa mshahar mwajiri wake..

Sababu kubwa ikiwa kuwa ww ndo uliyeacha kaz na hujampa taarif ya siku 28 kuwa unatak kuacha kaz

na kuhusu ukiingia mkataba wa mud maalum then ule muda wa kuisha mkataba ukafika na ukaendelea kufanya kaz bas kanuni ya 5 ya T.S NO.42 inasema kwamba mkataba huo ume jirudia automatic Kwa terms zilezile na conditions zilezile

Kuhusu haki Kwa sheria zetu za nchi kuwa huna haki yoyote isipo kuwa kweny MFUKO WAKO WA HIFADH YA JAMII,BC lbda mwajiri awe tu na huruma bc

N:B saiz hifadh ya jamii mfano NSSF hawan fao LA kuacha kaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiamua kuacha kazi kwa notice ya 24hours wewe ndio unamlipa mwajiri.
lakini ukitoa notice ya 1 month ni jukumu la mwajiri kukulipa mshahara wako wa mwisho na stahiki nyingine kama unastahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona mkataba wake unasema hivyo?
Maana hivi vifungu hutofautiana kulingana na mkataba husika, sio vifungu ambavyo ni general kwa kila mkataba.
 
Kwa sababu uneacha kazi mwenyewe,mlipe mshahara mmoja,update michango yako NSSF chukua certificate of service sepa
 
kwa kufanya hivi atapata mafao yake ya NSSF?
 
muajirii wakoo ndo falaaaa hapoo tena ungeacha bila hata kumwambiaa na hakuna kitu angefanya
 
Angalia tarehe ya kuisha kwa mkataba ule wa awali wa 2018 kwa kuulinganisha na mkataba mwingine ambao ungekuwa umeusaini sasa, just in case ungekuwa umeshasaini mkataba mwingine baada ya ule ulioisha 2018.

Kama tarehe hiyo bado haijapita, isubirie ifike halafu ikishafika unatoa notice ya mwezi mmoja ya kutokuwa tayari kusaini mkataba mwingine.

Kama hiyo tarehe ilishapita siku chache nyuma, tafadhali fanya utaratibu wa kumlipa mwajiri wako mshahara wa mwezi mmoja

Unapokuwa umeajiriwa, si jukumu la mwajiri wako tu kukulipa wewe mshahara ila hata wewe pia, under certain circumstances, unalo jukumu la kumlipa mwajiri wako mshahara
 
kwa kufanya hivi atapata mafao yake ya NSSF?
Yes atapata vizuri tu. Kuna barua form moja ataichukia NSSF ambayo itatakiwa ijazwe na mwajiri ikiambatanishwa na barua ya sertificate of service ambayo inatoka kwenye kampuni aliyoacha kazi. Sasa usipowalipa mara nyingi hii certificate wanakubania nia usifanikiwe kuchukua mafao yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…