Msaada: Nimeanza kusikia baridi na viungo vya mwili kuuma

Kisesetusese

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
393
Reaction score
615
Nasikia hali mbili

Moja kama kichwa cha uzi huu kinavyoeleza.

Badiri mwilini na viungo kuuma japo ni kama hali ya homa

Pili, ngozi ya mwili sehem yamiraba miwili ya mgongo inauma plus ngozi ya juu, mikono kwa juu huu upande wenye vinywelea. Kwa ujumla ngozi ya juu japo si mwili wote inauma kwa mbali.

Naendelea na shughuli zangu na kumeza panado.

Nina shida gani
 
shida inaanzia kwenye Kiswahili chako mkuu unakichapa sana!,hapa ukienda hospitali nashauri daktari akuchome sindano ya lugha kwanza!.
 
Mkuu.msaidie achana na lugha ebo
 
shida inaanzia kwenye Kiswahili chako mkuu unakichapa sana!,hapa ukienda hospitali nashauri daktari akuchome sindano ya lugha kwanza!.
Wewe kweli ni K. Badala ya kutoa msaada u aleta ujuaji
 
Huo ni ugonjwa mbaya sana unaitwa kisesetusese
 
Nasikia hali mbili

Moja kama kichwa cha uzi huu kinavyoeleza.

Badiri mwilini na viungo kuuma japo ni kama hali ya homa

Pili, ngozi ya mwili sehem yamiraba miwili ya mgongo inauma plus ngozi ya juu, mikono kwa juu huu upande wenye vinywelea. Kwa ujumla ngozi ya juu japo si mwili wote inauma kwa mbali.

Naendelea na shughuli zangu na kumeza panado.

Nina shida gani
Hakuna mtaalamu wa afya karibu? Swala la afya ni sensitive,ukisubiri ushauri wa kufikirika utakua unacheza upatu na afya yako
 
Nasikia hali mbili

Moja kama kichwa cha uzi huu kinavyoeleza.

Badiri mwilini na viungo kuuma japo ni kama hali ya homa

Pili, ngozi ya mwili sehem yamiraba miwili ya mgongo inauma plus ngozi ya juu, mikono kwa juu huu upande wenye vinywelea. Kwa ujumla ngozi ya juu japo si mwili wote inauma kwa mbali.

Naendelea na shughuli zangu na kumeza panado.

Nina shida gani
Kuna homa inasambaa kwa kasi mitaani kunywa maji mengi pata dawa za maumivu pumzika
 
Nasikia hali mbili

Moja kama kichwa cha uzi huu kinavyoeleza.

Badiri mwilini na viungo kuuma japo ni kama hali ya homa

Pili, ngozi ya mwili sehem yamiraba miwili ya mgongo inauma plus ngozi ya juu, mikono kwa juu huu upande wenye vinywelea. Kwa ujumla ngozi ya juu japo si mwili wote inauma kwa mbali.

Naendelea na shughuli zangu na kumeza panado.

Nina shida gani
Imeishapima miwaya?
 
Pole sana mkuu jaribu kwenda kituo cha afya jirani na wewe
 
Back
Top Bottom