Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 393
- 615
Mkuu.msaidie achana na lugha eboshida inaanzia kwenye Kiswahili chako mkuu unakichapa sana!,hapa ukienda hospitali nashauri daktari akuchome sindano ya lugha kwanza!.
Wewe kweli ni K. Badala ya kutoa msaada u aleta ujuajishida inaanzia kwenye Kiswahili chako mkuu unakichapa sana!,hapa ukienda hospitali nashauri daktari akuchome sindano ya lugha kwanza!.
Mkuu.msaidie achana na lugha ebo
nishamsaidia mbona sema mnavichwa vigumu kuelewa!.Wewe kweli ni K. Badala ya kutoa msaada u aleta ujuaji
Hakuna mtaalamu wa afya karibu? Swala la afya ni sensitive,ukisubiri ushauri wa kufikirika utakua unacheza upatu na afya yakoNasikia hali mbili
Moja kama kichwa cha uzi huu kinavyoeleza.
Badiri mwilini na viungo kuuma japo ni kama hali ya homa
Pili, ngozi ya mwili sehem yamiraba miwili ya mgongo inauma plus ngozi ya juu, mikono kwa juu huu upande wenye vinywelea. Kwa ujumla ngozi ya juu japo si mwili wote inauma kwa mbali.
Naendelea na shughuli zangu na kumeza panado.
Nina shida gani
Kuna homa inasambaa kwa kasi mitaani kunywa maji mengi pata dawa za maumivu pumzikaNasikia hali mbili
Moja kama kichwa cha uzi huu kinavyoeleza.
Badiri mwilini na viungo kuuma japo ni kama hali ya homa
Pili, ngozi ya mwili sehem yamiraba miwili ya mgongo inauma plus ngozi ya juu, mikono kwa juu huu upande wenye vinywelea. Kwa ujumla ngozi ya juu japo si mwili wote inauma kwa mbali.
Naendelea na shughuli zangu na kumeza panado.
Nina shida gani
Dah!๐ ๐ ๐Hiyo ni dalili mbaya ya UTI au dalili ya mwanzo ya UKIMWI... GOOGLE!
Jamani๐๐Hiyo ni dalili mbaya ya UTI au dalili ya mwanzo ya UKIMWI... GOOGLE!
๐ฅดJamani๐๐
Imeishapima miwaya?Nasikia hali mbili
Moja kama kichwa cha uzi huu kinavyoeleza.
Badiri mwilini na viungo kuuma japo ni kama hali ya homa
Pili, ngozi ya mwili sehem yamiraba miwili ya mgongo inauma plus ngozi ya juu, mikono kwa juu huu upande wenye vinywelea. Kwa ujumla ngozi ya juu japo si mwili wote inauma kwa mbali.
Naendelea na shughuli zangu na kumeza panado.
Nina shida gani
Naamin hivyo mkuu..hawo mashetani Castr Morning_star To yeye Waziri wa Kaskazini wataishia kuikanyagaKuna homa inasambaa kwa kasi mitaani kunywa maji mengi pata dawa za maumivu pumzika