Annie X6 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2023 Posts 704 Reaction score 1,331 Oct 18, 2024 #21 Unaendeleaje mkuu
K Kisesetusese JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 393 Reaction score 615 Oct 18, 2024 Thread starter #22 Annie X6 said: Unaendeleaje mkuu Click to expand... Ilikuwa ni usingizi ndio maana ngozi inauma, na kifua na mfua makali ndio viliniletea homa lkn sasa nachapa kazi.. asante kwa kujali
Annie X6 said: Unaendeleaje mkuu Click to expand... Ilikuwa ni usingizi ndio maana ngozi inauma, na kifua na mfua makali ndio viliniletea homa lkn sasa nachapa kazi.. asante kwa kujali
K Kisesetusese JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 393 Reaction score 615 Oct 18, 2024 Thread starter #23 Nimekuwa napata masaa 2-3 tu matatu ya kulala kwa siku Kazi zetu za Daladala ni pasta kichwa.. Nikiwa nasubiria abiria naingia JF kama hivi mkuu
Nimekuwa napata masaa 2-3 tu matatu ya kulala kwa siku Kazi zetu za Daladala ni pasta kichwa.. Nikiwa nasubiria abiria naingia JF kama hivi mkuu