Msaada,Nimebabuka miguu kwa madawa haya

Msaada,Nimebabuka miguu kwa madawa haya

ween

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
414
Reaction score
129
Natumai kuwa mwaendelea vyema kabisa. Ndg zangu wataalam na madactari wote humu ndani.... Lengo la kuleta uzi huu kwenu nikwamba nina hitaji ushauri ambao utakuwa msaada juu yahili
Juzi nilinunua dawa za malaria (malafin) nikatumia pamoja na panadol, baada ya kumeza dawa hizo nikaanza kuwashwasehemu zavidole vya miguu mpaka ukanyagio, nijikuna sana na hatimae leo sik ya 3 nimetokewa na kama malengelenge ya kuungua na moto ktk sehem zote zilizokuwa zinawasha,
Kwakweli bado nawashwa sana ukizingatia na hayo malengelenge tena najikuna kwa shida Naomba kujua hii inasababishwa na nini ? Pia nifanye nn ili niwe ok
Nisaidie mwenzenu napata TABU SANA
 
kwenye prescription za dawa yoyote hua wanasema kabisa kua ukiona contraindication fulan ambazo wameeleza unatakiwa uache dawa mara moja na urudi tena kwa daktari sasa mkuu uliona unawashwa na bado ukaendelea kutumia! UTAPATA TABU SANA
 
Natumai kuwa mwaendelea vyema kabisa. Ndg zangu wataalam na madactari wote humu ndani.... Lengo la kuleta uzi huu kwenu nikwamba nina hitaji ushauri ambao utakuwa msaada juu yahili
Juzi nilinunua dawa za malaria (malafin) nikatumia pamoja na panadol, baada ya kumeza dawa hizo nikaanza kuwashwasehemu zavidole vya miguu mpaka ukanyagio, nijikuna sana na hatimae leo sik ya 3 nimetokewa na kama malengelenge ya kuungua na moto ktk sehem zote zilizokuwa zinawasha,
Kwakweli bado nawashwa sana ukizingatia na hayo malengelenge tena najikuna kwa shida Naomba kujua hii inasababishwa na nini ? Pia nifanye nn ili niwe ok
Nisaidie mwenzenu napata TABU SANA

Mkuu una allergy na sulfur.usije rudia tena kutumia hyo malafin vinginevo utababuka mwili mzima (stevenjohnson syndrome).
Tafuta hydrocortisone itakusaidia.
 
Kuna baadhi ya watu wakinywa dawa zenye sulphur kama malafin, sulphader na oroder zinawaletea shida za allergy usizitumie tena na wala ukinunua dawa usitumie zenye sulphur ina shida na wewe nenda hosptal au tafuta antihistamine utumie mfano hizo hydrocortisone, celestamine, piriton, cetrizen pia zakupaka maeneo yaliyo pata tatizo
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom