frank mkweli
Member
- Aug 9, 2013
- 92
- 12
msaada wenu wakuu nimechaguliwa iyo koz apo juu nataka nichange nichukue bachelor of arts in economics, vp niko sawa nasubir mawazo yenu.
hayo mabadiliko yanafanyika chuoni hapo hapo au unahama chuo?
Ni pm namba zako za simu na unapoishi. . .
nataka nihame chuo na koz.
Chuo gani umechaguliwa?
We economics hutaiweza,labda kama uko vyuo vya mchangani lakn kama ni pale THE Hill,utadisco semister ya kwanza tu.over