Msaada; Nimechangia mafuta na mtu ngozi yangu imeharibika

Sheilerz

Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
69
Reaction score
87
Naomba msaada,
Mimi sio mtumiaji wa vipodozi vikali lakini yamenikuta haya baada ya kushare lotion ya ndugu yangu tukiwa safarini.

Bahati mbaya nilisahau kupack mafuta wakati nasafiri sasa kwakuwa hatukukaa siku nyingi nikasema sio vibaya nikitumia mafuta yake siku tatu, ngozi yangu imeharibika imetoa vidoti vyeupe vidogo vidogo hata sijui nafanyaje kuviondoa.

Mwenyewe mtumiaji yuko vizuri tu.
Msaada naomba kama kuna dawa itakayonisaidia kuondoa..

 
Usipake chochote kwan unaweza kuongeza tatizo.... wewe acha vitaisha vyenyewe ila kama huna amani paka alovera gel yaan chuna jani la alovera uwe unapaka asubuh mchana na jioni pia unaweza kupaka maji ya muarobain yaan unachukua majani ya muarobain unayaponda unaweka maji kidogo sana kisha unapaka kwenye tatizo... siku kadhaa tu utakua poa na hayo mafuta usiyarudie tena.

Nakunong'oneza,
(Hilo ni paja au kiuno?? lol)
 
Asante my dear, nina alovera ntapaka hiyo.
Hahaa mkono huo [emoji2]
 
Ila una mkuu muzuri sana
 
Mstari wa mwisho huo .... umejaa UCHOKOZI CHOKOZI hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…