Msaada:Nimechoka kuwa domo zege

Sasa hao wa mara moja moja sio ndio fungu lako????

Ukiwa mdomo mzito pesa Ni mdomo pia
 

Toa Helaa!!! Hamna namna nyingine
 
Kutongoza kipaji na sio kila mtu kajaaliwa. Tafuta pesa zitakusaidia kuongea.
 
Sasa hao wa mara moja moja sio ndio fungu lako????

Ukiwa mdomo mzito pesa Ni mdomo pia

Sasa unatangulizaje pesa bila ya maneno?
Au pesa ndo inatongoza?
 
Natamani ungeelewa mada
Wewe domo zege. Ndio nakwambia kipaji cha maneno huna inabidi utumie pesa vinginevyo waite shemeji au usimuache huyo uliembahatisha.
 
Mbona izee tu, wewe Anza kwa kumsalimia mfano, mambo mrembo, halafu unamuambia Mimi naitwa flani ningependa kufahamu jina lako au unamuambia naomba pia nami nikufahamu,wakati unachezanae hivo hakikisha macho unamuangalia usoni na anapojibu unakwepesha macho kidogo ili asijisikie aibu kujibu. Baada ya hapo unaweza endelea na story nyingine...
 
Nimekusoma mkuu..eye contact in muhimu kweli.
 
Pole aisee, inaonekana pia unawaogopa wanawake ndo maana unakosa ujasiri ukiwa na dame maneno yanapotea
 
Kuna kanuni kuu tatu ukizifuata huwezi teseka kwa mwanamke
no 1 mpe hela no 2 we mpe hela no 3 usiache kumpa hela.
 
Sikia nipe namba yako ili siku ukikutana na mrembo unanibip halafu mimi nitakupigia simu then unampa huyo mrembo nikutongozee
 
Sikia nipe namba yako ili siku ukikutana na mrembo unanibip halafu mimi nitakupigia simu then unampa huyo mrembo nikutongozee

114 jisikie huru kunipigia mda wowote
 
Unataka kuwa domo vigae!!udomo zege unasaida mengi sana, ngono si ujanja wala nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…