Lech Poznan
JF-Expert Member
- Jul 3, 2025
- 783
- 1,211
Sijaona editUme save kwenye whatsapp na sio contact.
Cha kufanya
1. Ingia kwenye profile yake,
2. Click edit utaona juu upande wa kulia,
3. Delete contact
Apo utakua umemalizana nae.
Click apo uone full profile mzee utaona jina, namba yake alafu fata maelekezo ya juu niliokwambia.Sijaona edit
hata me ishawai nitokea hii kila nikijaribu kufuta nashindwa sasa hapo si ublock then natumain unameta ai muulize atakupa muongozo wa kufuta hizo namba ambazo huwa ni WhatsApp view onlyKuna namba ya simu ipo kwenye Contact yangu nimeifutq kwenye Contact imefutika siioni lakini chakushangaza kwenye WhatsApp yangu bado hipo na status zake bado naziona. Nimejaribu kuifuta imegoma naombeni msaada shida itakua wapi.