Wakuu kama ilivo ainishwa hapo juu,
MSAADA ninao hitaji nikwamba Jana KWENYE harakati za kwny 1 na 2 nmejikuta nimelifuta file la Xender kwenye simu yangu lakini Cha kushangaza sasa zile MIZIKI nilizokuwa nmezihamishia kwenye hii cm KUPITIA hii Xender kuja kwenye simu yangu nilioifuta ki bahat mbaya nazo zmefutika ghafla zote.
Je imaana kuwa HIZO MIZIKI zilikuwa hazijatoka kwenye Hilo la Xender kuingia kwenye simu au?
Nakama zmefutika jumla ninaweza kurejesha Tena?