Msaada pia kiongozi Mimi pia Nina changamoto hiyo ila ni hivi nilifunguaga account ajira portal wakat nipo chuo around 2019 kupitia Gmail yangu ya mwanzo na hiyo account ya ajiraportal siku upload chochote zaidi ya kuweka tu namba ya Nida Kwa sababu nilikua bado nipo chuo sijamaliza hivyo sina vyeti ,Sasa nikamaliza ila ile account yangu ya Gmail ambayo nilitumia kufungua account ajiraportal Google waliifunga walisema nimeviolate privacy policy zao Kwa sababu Kuna siku nilikua naupload files kutoka kwenye simu kwenda kweny Google drive vitu vilikua vingi nahisi vingine ndo vilipelekea hiyo Google account ifungwe changamoto yangu nilifungua Gmail nyingine na kutaka kufungua account nyingine ajiraportal ila pale kwenye NIN inasema tayar imeshatumika hivyo naomba nisaidie nifanyeje maana niliwapigiaga ajiraportal huduma Kwa wateja wakaniambia niandike barua niwatumie kwenye email yao Ili waifute ile account niweze kufungua nyingine nikafanya hivyo Hadi leo naona kmya najaribu kuwapigia simu siku hiz naona hawapokei na Mimi nipo Mwanza Kwa Sasa Hadi nawaza kama wanaoffice na huku mikoani Ili niende direct kuona inakuaje ,msaada ata wa mawazo mkuu