Msaada: Nimeingiwa na mdudu (mbu) kwenye sikio

Msaada: Nimeingiwa na mdudu (mbu) kwenye sikio

Kaputupu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,486
Reaction score
1,174
Jamani naomba msaada nimeingia na mdudu (mbu) kwenye sikio, msaada wana JF please.

Nimejaribu kuweka maji then kuinamisha kichwa for couple of minutes but no hope. Nimejaribu kwa cotton buds, No hope.

Msaada wajameni, sitalala leo.
 
Jamani naomba msaada nimeingia na mdudu (mbu) kwenye sikio,, msaada wana jf plz.. Nimejaribu kuweka maji then kuinamisha kichwa for couple of minutes bt no hope.. Nimejaribu kwa cotton buds.. No hope.. Mdaada wajameni.. Sitalala leo

Sio maji tu weka ya moto sikioni
 
Jamani naomba msaada nimeingia na mdudu (mbu) kwenye sikio,, msaada wana jf plz.. Nimejaribu kuweka maji then kuinamisha kichwa for couple of minutes bt no hope.. Nimejaribu kwa cotton buds.. No hope.. Mdaada wajameni.. Sitalala leo

Mbu mdogo sana kiumbo, atakufa tu maana hamna hewa ya kumtosheleza!
Ila ngoja wataalam waje kukugahamisha cha kufanya!
 
Mbu mdogo sana kiumbo, atakufa tu maana hamna hewa ya kumtosheleza!
Ila ngoja wataalam waje kukugahamisha cha kufanya!

Mkuu tatizo nafeel kabisaa anacheza cheza ndani ya sikio then anatulia,, sina raha yaani...
 
Try filling your ear with any oil... Kisha tip your head to oneside, it will drown it and definatly kill it or use a tweezer to remove it
 
Wakuu sikufanikisha kumtoa huyu mdudu last night nimelala kwa shida sanaa..
Lakini sasa naona amekufa sijui maaaana hachezi tena ndani ya sikio bt nimejaribu jinsi ya kumtoa siwezi.. Naona kama sikio langu limeziba fulani hivi.. Bt nasikia vizuri sema na feel kabisa kuwa ndani ya sikio kuna kitu ndo kinacho ninyima raha
 
Weka mafuta ya kupikia ktk hilo sikio afu subiria ukiwa umeinamisha sikio lako likiwa na mafuta kwa dk kadhaa kama 3 hivi afu uinamishe kichwa kumwaga atakuwa ametoka
 
Weka mafuta ya kupikia ktk hilo sikio afu subiria ukiwa umeinamisha sikio lako likiwa na mafuta kwa dk kadhaa kama 3 hivi afu uinamishe kichwa kumwaga atakuwa ametoka

Thanks mkuu ngoja nifanye hivoo.. Asante mkuuu..
 
Back
Top Bottom