Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

Waifu anaendana na mapigo yangu lakini nadhani atakuwa haridhishwi na utendaji kazi wangu, nahisi nitakuwa nachepukiwa.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kwani uhisi unachepukiwa kwani kuna dalili unaziona zakuchepukiwa na upon nae wife kwa mda gani sasa....kwani hizo dk chache huwa humfikishi kilele na wife wako ana umri gani...
 
Kwanza tambua kumchubua mtu sio ujuzi kwa game ni match rough tu. Vipi umeishiwa na hela? Maana hiki ni chanzo pia!
Watoto unazalisha wapi na wapi?

Mkuu, huwa inatokea kwa bahati mbaya, hasa ikiwa nitacheza mechi kwa muda mrefu bila kufunga goli. Si unajua tena mashine yangu ishakuwa butu!
 
Asante kwa taarifa hii muhimu mkuu. Stem cell inauzwa kwenye maduka ya dawa au ntaipataje Chief?
 
Kwanza tambua kumchubua mtu sio ujuzi kwa game ni match rough tu. Vipi umeishiwa na hela? Maana hiki ni chanzo pia!
Watoto unazalisha wapi na wapi?
Mkuu kuchubua huwa inatokea bahati mbaya tu hasa ninapoanza mechi kipindi, kupata bao inakuwa shida sana na mashine hulala hata ikiwa ingali ndani ya papuchi. Hela ninazo kwa kiasi cha mboga. Watoto nazalisha kwa waifu na kwa mchepuko.
 
Asante kwa tiba hii mujarabu mkuu, nitaifanyia kazi kisha nitakuja hapa kutoa mrejesho ili wadau wengine wenye tatizo kama langu wanufaike.
 
Kwani mkuu hujawahi kuoa kwa umri huo miaka36
Nimeoa mkuu, sijui labda ni michepuko wangu ndio wameniroga maana miezi michache iliyopita nilikuwa fit kinyama lakini ghafla mambo yamekuwa tofauti.
 
Napenda sana kuzuia lakini goli likishafika kichwani kila nikijaribu kulizuia nashindwa mkuu.
 
Ukipiga goli dk5 unakaa dakika ngap kurud uume usimame upige lapili au ukikojoa lakwanza dk5 unaunganisha hapo hapo
Nikipiga bao la kwanza nakaa nusu saa ndipo walau mashine inasimama ijapokuwa kwa wasiwasi; mpaka niitikise au niingize kwenye "chakula" chake ndipo isimame vizuri.
 
Nimeoa mkuu, sijui labda ni michepuko wangu ndio wameniroga maana miezi michache iliyopita nilikuwa fit kinyama lakini ghafla mambo yamekuwa tofauti.
Hiyo miezi michache iliyopita ulikua unaweza kufanya kwa dk ngan
 
Nikipiga bao la kwanza nakaa nusu saa ndipo walau mashine inasimama ijapokuwa kwa wasiwasi; mpaka niitikise au niingize kwenye "chakula" chake ndipo isimame vizuri.
Na hiyo miezi michache nyuma ulikua vivo kupiga cha pill mpaka uuingize ktk uke ndo isimame
 
Umeishiwa pesa najua ukipata pesa nguvu za kiume zinarudi utagonga balaa
 
Asante kwa tiba hii mujarabu mkuu, nitaifanyia kazi kisha nitakuja hapa kutoa mrejesho ili wadau wengine wenye tatizo kama langu wanufaike.
Ukitoa mrejesho unipe namim mkuu nashida kama yako ili niweze kutumia
 
Hiyo miezi michache iliyopita ulikua unaweza kufanya kwa dk ngan
Nilikuwa nafanya kwa wastani wa dakika 5 kwa kila bao ila nilikuwa naweza kupiga bao nyingi (5 -7 per night) na mashine ilikuwa imara tofauti na sasa ambapo nikipiga goli moja mashine inaweza kulala dolo hata kwa zaidi ya nusu saa na pengine hata nisipate ashki tena ya kupiga paper II hadi kesho.
 
Tujaribu hiyo dawa ameosema mkuu..maana hapa nilipo nipo na mzee mmoja apa anaelezea hayo hayo kuwa kitunguu swaumu na asali nitiba tosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…