😀Niwezeshe mkuu, takrima swadaktah ipo
NENDA OFISI ZA NIDA kaonane nao hakuna usumbufu wowoteWakuu,
Nahitaji namba ya NIDA tu maana nimejiandikisha miezi miwili imepita sasa, naweza kuipata kupitia Online service baada ya kuingiza taarifa zangu?
Msaada tafadhali. NIDA Tanzania
Mkuu ulipata numberKuna kilo mbili kwa mwenye ataweza kutatua changamoto yangu ya tariff kuingiliana...huu sasa ni mwaka sa 6 Holaaaa...nmeshatumia gharama sanaa