MSAADA: NIMEJITAHIDI KUACHA NIMESHINDWA.

mpenda arage

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2015
Posts
1,677
Reaction score
3,806
Ni kipindi kirefu sana nimekuwa nikisumbuliwa na hii tabia, na nimejitahidi kuacha nimechemka. Ndio maana nimekuja mbele yenu ili mnipe mbinu zitakazosaidia kuachana na hii tabia.
Ni hivi, huwa napenda kugusa au kushika nyonyo za binti yeyote ntakayekaa nae siti moja kwenye gari au kushika nae bomba tukiwa tumesimama. Yaani akilaa tu kwenye siti huwa najikuta tayari nimeshakunja mikono kifuani kama naswali. Hapo naanza kulisaka nyonyo lilipo. Nikilipata naanza kulisugua kwa kiwiko. Gari likiyumba ndiyo nakuwa nimebaki na kipa, yaani nakigusa kabisa "kiwele" na kukisugua. Lakini ukinicheki usoni niko kikauzu balaa. Tena naweza nikazuga nachezea simu.
Hii hali imeshanichosha na nahofia siku nisije jichanganya lutindi nikazua balaa.
Msaada wenu tafadhali.
 
Soon utapata kesi ya harassment and women's abuse, then utajikuta unaishia shimo la tewa..... Na mkulu hatowi msamaha tena kwa wabakaji
 
Daah kweli dunia ni watu na watu ndio sisi, haya mkuu kila la hel na kazi yako
 
Subiri upelekwe sehem naww ukashikwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…