Msaada: Nimekosea kujaza namba ya mtihani TCU, nikilipa kwa mara ya pili itawezekana!

man of the year

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
345
Reaction score
86
Wakuu nipo hapa cafe na apply chuo kila napoandika passord inaniambia haipo. Nimekosea kujaza namba ya mtihani TCU nikilipa kwa mara ya pili itawezekana wakuu

Msaada tafadhali
 
Password ipi mkuu?,maana unapoapply for the first time lazima ucreate new password
 
Tafuta namba zao kwenye guide book haina haja ya kulipa tena
 
nenda kwenye register utaweka namba yako ya form4 then unaingiza pasword yko,hyo pasword na namba ya form4 ndo utakazozitumia kuingia kwenye profile yako
 
wapigie na ndio ushauri rahisi. Nakushauri pia wapigie asbuh sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…