ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
Habari za asubuhi,
Ni kwamba niko ugenini pande za wasukuma huku vijijini Kilimatinde ndani kabisa,sasa katika kuamka asubuhi imeandaliwa breakfast ya maboga na maziwa ya mgando.
Sasa katika kuwaiga wenyeji nikaparamia maboga matatu na maziwa lita moja .Wakati Mjini kwa bigdady nimezoea kiepe sahani moja niko vizuri nilivopiga boga moja nikawaambia asante wakasema acha kutania tumbo sasa ikabidi niendeleze matatu.
Hapa ninapoongea nimetoka chooni nimekaa zaidi ya nusu saa nakamua mzigo hautoki naishia kupumua tu.
Nimerudi katika chumba yangu nimelala tu ukitegemea mwenye duka la madawa kaenda kanisani mjini.
Nifanyeje maana tumbo lauma full kuunguruma tu bu bu bu bu.