Msaada nimekunywa alovera naumwa tumbo

Msaada nimekunywa alovera naumwa tumbo

tembocard

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
247
Reaction score
121
Habari zenu? Naombeni msaada jana nimechukua jani la mwalovera nimekatakata nimeloweka masaa 2 nikanywa nusu glass baada ya hapo usiku nimeumwa sana tumbo na kuharisha sasa sijui tatizo ni nini, naombeni ushauri niendelee kunywa au niache maana sielewi ndo inafanya kazi au ina madhara
 
pole ndg. nasikia ndo ufanyaji kazi wake.
 
Back
Top Bottom