Vp na ww ukinywa unaumwa tumbo na kuharishaMi ndo dawa yangu ya maleria
NimekunywaDah uchungu wote ule umekunywa nusu glass 😳
Sijawahi harishaVp na ww ukinywa unaumwa tumbo na kuharisha
Muwasho mwiliniHabari mpya kwangu hii ulikunywa ukiwa umekusudia kutibu nini mkuu
Asantepole ndg. nasikia ndo ufanyaji kazi wake.
AsanteNdo inafanya kazi hivyo,inasafisha tumbo
Nikiharisha ndoinakuwa inafanya kaz au?Yaan utaharisha mpaka ujihisi tumbo limekua jepesi.
AsanteUtahara mpaka udondoke chooni. Pole sana