Msaada, nimekunywa "redds"kumbe imeisha muda

Msaada, nimekunywa "redds"kumbe imeisha muda

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,292
Wakuu heshima kwenu.

Nimekunywa hicho kinywaji kumbe kimeshapita muda wa matumizi sasa tumbo linaniuma na ninaharisha naogopa kunywa flajiri nifanyeje wakuu?
 
usile kitu kunywa maji tu..unaweza kununua activated carbon itakupunguzia kuhara...
 
Back
Top Bottom