Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,292 Jun 19, 2014 #1 Wakuu heshima kwenu. Nimekunywa hicho kinywaji kumbe kimeshapita muda wa matumizi sasa tumbo linaniuma na ninaharisha naogopa kunywa flajiri nifanyeje wakuu?
Wakuu heshima kwenu. Nimekunywa hicho kinywaji kumbe kimeshapita muda wa matumizi sasa tumbo linaniuma na ninaharisha naogopa kunywa flajiri nifanyeje wakuu?
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,683 Jun 19, 2014 #2 usile kitu kunywa maji tu..unaweza kununua activated carbon itakupunguzia kuhara...