Msaada;nimekuwa na hasira na woga wa kupindukia

nyukiii

Member
Joined
May 8, 2016
Posts
38
Reaction score
20
Baada ya kuzulumiwa na mtu ambaye alikuwa karibu sana mimi, nimekuwa mtu hasira na woga sana , nawaogopa mpaka marafiki zangu, pia imefikia hatua mpka nataman kujinyonga.

Naomba msaada wa sycologist na gharama zake
 
Baada ya kuzulumiwa na mtu ambaye alikuwa karibu sana mimi, nimekuwa mtu hasira na woga sana , nawaogopa mpk marafiki zangu, pia imefikia hatua mpka nataman kujinyonga. Naomba msaada wa sycologist na gharama zake
Pole sana mkuu, soma maneno haya Mara kwa Mara utarudi hali yako ya kawaida kwa uwezo wake Allah(subhana wataala).

LAA ILAHA ILLA ANTA SUBHANAKA INNI KUNTUM MINADHWALIMIINA.
 
Uoga ni ugonjwa na tatizo kubwa, usiukubali na ufukuze kwa nguvu zote!
 
Baada ya kuzulumiwa na mtu ambaye alikuwa karibu sana mimi, nimekuwa mtu hasira na woga sana , nawaogopa mpaka marafiki zangu, pia imefikia hatua mpka nataman kujinyonga.

Naomba msaada wa sycologist na gharama zake
 
Pole sana mkuu, soma maneno haya Mara kwa Mara utarudi hali yako ya kawaida kwa uwezo wake Allah(subhana wataala).

LAA ILAHA ILLA ANTA SUBHANAKA INNI KUNTUM MINADHWALIMIINA.

vipi wenye dini tofauti tunaruhusiwa kutamka hayo maneno mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…