Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Vijana acheni kujifanya vijogoo, mtaumia sana!! Maisha magumu bado tena unajiongezea matatizo mengine ya kujitakia!!
Thamini afya yako thamini uhai wako
 
Hill linatibika, bila Mara nyingi vinakuwa pacha na mwenzake asietibika (HIV) anza kuuza Mali ule. Maisha ndio kwishinyyyy!!!
 
pia kama una namba ya simu ya huyo mrembo mwambie aende hospitali akapate tiba kwasababu unaweza kuta dada ni mrembo sana lakini hajui kama ana huu ugonjwa simply because dalili za gono kwa mwanamke kama sijakosea huchukua muda mrefu sana mpaka kuonekana.Na ujinga wa wanaume wengi akiona tuu dada mrembo basi yeye ni nyama kwa nyama ikizingatia siku hizi hofu ya ukimwi imepungua sana kuliko UTI kwasababu uti mtu anaanza kujishtukia na kijasho fulani hivi tuu.pia hofu ya mungu ni ndogo sana kwa watu akiwa na watu anowajua anajidai mcha mungu ila akiwa gizani ni zaidi ya hao unao waita malaya au wadhinifu mungu atusaidie katika hili can u emagine mtu anagigwa game na mtu mwingine na ana toka maziwa kifuani tena bila kinga?basi haya yapo
 
Hivi kwanini hamvaagi kondom ona sasa.. nenda hospital chapu. Na iwe fundisho kwa wengnd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…