konyagi huijui mkuu.?,au unadhani gin ni dawa?asante mkuu... lakini hiyo "gin" hata siijui afu ntaipataje au zipo madukani?
pata glass ya gin + little lemon /
safi umejipatia kiasi cha protein safi/ protein ghafi.
haswaaa s funzani ishu ndogo japo inatia kinyaa au kichefuchefu....Aksanten sanaa...
Kuna moja niliwahi kuiona mtu anatafuna mpaka tandu
Kula bana......ni afya ujue......
Japo kuna mtu namfahamu aliwahi kutolewa funza kwenye mbavu ila naona zilikuwa ni laana zake;
Ninachokiamini ni kuwa joto la mwilini na joto la kwenye hilo tunda haviwezi kuendana;
itabidi funza wafe wakifika tumboni;
Japo kuna mtu namfahamu aliwahi kutolewa funza kwenye mbavu ila naona zilikuwa ni laana zake;
Ninachokiamini ni kuwa joto la mwilini na joto la kwenye hilo tunda haviwezi kuendana;
itabidi funza wafe wakifika tumboni;
Duh the way unavyo insist jamaa kula kwa ajili ya afya yake utazani mko pamoja vile, hahaaaaaa, jamaa funza kwenye tunda wamemtoa roho jujuuu, then unamwambia ale wengine tena, majanga.
Ni possible kufa kwa sababu ya hali hizo kuwa tofauti, lakini kuna wadudu na hata wanyama wenye uwezo wa ku adapt mazingira waliopo. sasa isije kuwa funza nao wakafika huko tumboni ingawa joto la mwili ni kali with reference na tunda wakamenage ku adapt human temperature na mwisho wa siku wakaweza kuishi. Ni mtizamo wa kawaida tu
Duuuh... sasa wewe kwa hizo ideology zako ndio unazidi kuniweka roho juu juu
wanaweza kuadapt tenaaa..!!
Amina mkurugenzi MUNGU ni mwema.Ndio maana nilisema ni mtizamo tu wa kawaida maana kuna baadhi ya wadadu kweil wanaweza kuishi mazingira tofauti tofauti. Usihofu mkuu, kitu kikiingia tumboni huwa kinashughulikiwa ipasavyo ili kupata virutubisho vya mwili na kama kuna sumu pia nayo huchujwa na kutolewa nje. Mungu ni wa ajabu sana na kila aina ya mtambo wa kushughulikia vitu vinavyoingia. Na pia ni kweli usiopingika kuwa sisi binadamu huwa tunakula wadudu wengi sana aidha kwa hiari yetu wenyewe ama kwa lazima. Mfano tu mdudu nzi, watu wengi sana tulishamla pasipo sisi wenyewe kutaka, mfano kwenye vyakula na mara nyingi anaweza akakuingia kupitia sehemu za wazi kama kinywa, pua nk, na bado tupo salama.
Tulipokuwa sekondari zamani wadudu kwenye maharage, funza kwenye unga nk, tumekula sana na bado tupo salama tunaishi, Mungu ni mwema na wala huna haja ya kuogopa kwa assumption ndogo kama hiyo ambayo sio justifiable.
Bonge la menu! Protein saaaafi!Habarini wana jamvi. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, jana usiku majira ya saa mbili nilipita mgahawani kwa ajili ya kupata meal. Nilipata chakula freshi tu kama ambavyo imekuwa ikielelekezwa kitaalamu kwamba baada ya kula chakula ndio ushushie matunda.
Sasa baada ya kupiga zangu ugali kisamvu na maharage na dagaa za kukaanga nilisogeza vipande vya tikitiki na kuanza kuvishambulia, wakati nikiwa tayari nimeshamaliza kipande cha kwanza kabla naelekea kula cha pili ndipo niliposhtuka kuskia kma mdudu ananitembelea kwenye vidole. ile kuangalia kwa makini nikaona funza wengi sana wakiwa kwenye mashimo zinapokaa mbegu...
Kwa kuona hivyo tu ni dhahiri tayari nilikuwa nimeshawabugia hata kwenye kile kipande cha kwanza.
Wasiwasi ni kuwa tukio hili halijawahi kunitokea na ndio mara ya kwanza naombeni msaada kama kuna madhara yoyote nifanyeje hili kuyaepuka??
Asanteni.
Protini bwelele
Na baada ya kugundua hilo, siku hizi nnawala kishenzi, nikiwakuta kwenye tunda lolote iwe parachichi au tikiti maji huwa silitupi asee. Pure protein haina madhara kabisa kama nilivyo hisi hapo mwanzo.Bonge la menu! Protein saaaafi!
Wacha maneno wewe... wale wamenifanya nizidi kuwa na afya iliyo bora.Tumboni wanazidi kukua...Naogopa!!!