habari wana jf nimemuweke mpangaji mwenzangu dhamana kwa kosa la shambulio je kwa kosa kama hili kama akikimbia nini kitatokea kwangu na solution nini je mlalamikaji asipotokea mahakamani itakuaje
Akikumbia unakuja kufuatwa wewe hapo na kama kukamatwa utakamatwa wewe hapo yani inshort whatever happens to huyo jamaa they come for you maaana effect ya ulichokifanya ni kwamba u guarantee the appearance of the bailee