sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,053
- 1,304
Ujue ukitoa mambo ya hari ngumu kwa sasa biashara inahitaji ubunifu wa kiwango kikubwa sana.Wakuu nilianzisha biashara ya nguo lakini soko limekuwa ngumu sana nilikuwa nachukua nguo k/koo napeleka mikoani hasahasa morogoro ila biashara ni ngumu huko mzigo hautembei kabisa mauzo madogo mpaka pesa inaishia kwenye chakula, usafir nå malazi tu
Wakuu naomba ushauri maana kwenye akiba yangu nimebakiwa na 1,200,000 tu naombeni ushaur nifanye biashara gani kwa sasa itakayonitoa, maana hata sielewi
sizonjemadawa
Nimependa wazo lako mkuu!Aiseee pole sana, jaribu kununua mahindi kwa sasa sehem ambazo bei ipo Chini kidogo ( mf. Sado moja Tsh 1000. Nenda morogoro vijijini huko na katavi utapata kwa hiyo bei). Ukipata kwa hiyo bei means hiyo pesa iliyobaki nayo utapata gunia 30 +, zenye Sado sita @ gunia. Kisha store hizo gunia 30 kwa miezi mitatu, jitese tu kwa hii miezi kisha soma Upepo km mvua za vuri za mwezi wa tisa zikianza kunyesha basi push mzigo wote ambapo Sado utauza si Chini ya 3500 kutegemeana na sehem unayouzia. Lkn mvua za vuri zisiponyesha plz endelea ku store huo mzigo kwa miezi mingine miwili -mitatu utapiga hela mpk ushangae mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kulivaa pia mkuu, maana wanasema mwenzetu akinyolewa tutie maji. Karibu.
Chief nashukuru naondoka nå hik kituAiseee pole sana, jaribu kununua mahindi kwa sasa sehem ambazo bei ipo Chini kidogo ( mf. Sado moja Tsh 1000. Nenda morogoro vijijini huko na katavi utapata kwa hiyo bei). Ukipata kwa hiyo bei means hiyo pesa iliyobaki nayo utapata gunia 30 +, zenye Sado sita @ gunia. Kisha store hizo gunia 30 kwa miezi mitatu, jitese tu kwa hii miezi kisha soma Upepo km mvua za vuri za mwezi wa tisa zikianza kunyesha basi push mzigo wote ambapo Sado utauza si Chini ya 3500 kutegemeana na sehem unayouzia. Lkn mvua za vuri zisiponyesha plz endelea ku store huo mzigo kwa miezi mingine miwili -mitatu utapiga hela mpk ushangae mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuubadirisha biashara mkuu hamia kwenye nafaka mfano huku niliko mimi ifakara mpunga hivi sasa gunia ni 70 mpaka themanini debe 10,ukilifikisha mashineni unalikoboa unauza mchele kwa wanunuzi wanaopeleka daa atleast maisha yanasonga so ukiweza waweza fanya utafiti pia juu ya hii biashara sehemu yoyote utakayoona inamazingira rafiki kwako then ukijiridhisha utaimudu ingia upige mzigo usifanye biashara bila kufanya utafiti japo mdogo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakaposhindwa usisite kuulizaChief nashukuru naondoka nå hik kitu
sizonjemadawa
Shukrani sana!Unaweza kulivaa pia mkuu, maana wanasema mwenzetu akinyolewa tutie maji. Karibu.
huyo mwenye bucha sio mbunifu,,Hahaha hapa ndo nawakubali watu.
Kwa kifupi hakuna boashara rahisi.
Hizo za nafaka wapo wanao lia kwa sasa, kuna mtu ana mgahawa analia kuna mtu ana bucha atakuambia Nyama haiendi.
Fanya kile ulicho na mapenzi nacho wewe kama wewe na sio mwingine.
Biashara zote zinahitaji commitemnt na pia hapo Inovations.
FANYA BIASHARA UKILENGA KUTATUA CHANGAMOTO UNAZO ZIONA KWENYE JAMII.
Ukisubili mtu akuambie cha kufanya inakula kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaomba no yako mkuu tufanye mazungumzobadirisha biashara mkuu hamia kwenye nafaka mfano huku niliko mimi ifakara mpunga hivi sasa gunia ni 70 mpaka themanini debe 10,ukilifikisha mashineni unalikoboa unauza mchele kwa wanunuzi wanaopeleka daa atleast maisha yanasonga so ukiweza waweza fanya utafiti pia juu ya hii biashara sehemu yoyote utakayoona inamazingira rafiki kwako then ukijiridhisha utaimudu ingia upige mzigo usifanye biashara bila kufanya utafiti japo mdogo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua nguo na Viatu nenda chunya biti manyanga now wamevuna tumbaku ..au nenda KWA wasukuma kipindi cha mavuno utatoboaWakuu,
Nilianzisha biashara ya nguo lakini soko limekuwa gumu sana nilikuwa nachukua nguo K/koo napeleka mikoani hasahasa Morogoro ila biashara ni ngumu huko mzigo hautembei kabisa mauzo madogo mpaka pesa inaishia kwenye chakula, usafiri nå malazi tu.
Wakuu naomba ushauri maana kwenye akiba yangu nimebakiwa na 1,200,000 tu naombeni ushauri nifanye biashara gani kwa sasa itakayonitoa, maana hata sielewi.
Sizonje madawa
Well saidUjue ukitoa mambo ya hari ngumu kwa sasa biashara inahitaji ubunifu wa kiwango kikubwa sana.
Wewe unatoa nguo Kariakoo unapeleka Morogoro wapo maelefu wanafanya hivyo.
Jiulize ni kitu gani kitafanya wateja wanunue nguo zao na si za muuzaji mwingine. Jiulize na ujijibu mwenyewe.
Hakuna biashara rahisi na kile unacho kiona kigumu kabisa fanya hicho hicho kwa sababu kirahisi kila mtu anafanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
SafiiAiseee pole sana, jaribu kununua mahindi kwa sasa sehem ambazo bei ipo Chini kidogo ( mf. Sado moja Tsh 1000. Nenda morogoro vijijini huko na katavi utapata kwa hiyo bei). Ukipata kwa hiyo bei means hiyo pesa iliyobaki nayo utapata gunia 30 +, zenye Sado sita @ gunia. Kisha store hizo gunia 30 kwa miezi mitatu, jitese tu kwa hii miezi kisha soma Upepo km mvua za vuri za mwezi wa tisa zikianza kunyesha basi push mzigo wote ambapo Sado utauza si Chini ya 3500 kutegemeana na sehem unayouzia. Lkn mvua za vuri zisiponyesha plz endelea ku store huo mzigo kwa miezi mingine miwili -mitatu utapiga hela mpk ushangae mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app