mtafutaji2016
Senior Member
- Jun 19, 2016
- 105
- 46
Umeongea point kakaHahaha hapa ndo nawakubali watu.
Kwa kifupi hakuna boashara rahisi.
Hizo za nafaka wapo wanao lia kwa sasa, kuna mtu ana mgahawa analia kuna mtu ana bucha atakuambia Nyama haiendi.
Fanya kile ulicho na mapenzi nacho wewe kama wewe na sio mwingine.
Biashara zote zinahitaji commitemnt na pia hapo Inovations.
FANYA BIASHARA UKILENGA KUTATUA CHANGAMOTO UNAZO ZIONA KWENYE JAMII.
Ukisubili mtu akuambie cha kufanya inakula kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi hamjaelewa dhumuni la mleta mada.
Hiyo biashara ya K/Koo ni changa la macho tu,alikuwa hataki uzi wake uunganishwe na uzi mwingine ndo maana katumia ujanja huo
Lengo lilikuwa ,ana mtaji wa hicho kiasi alichokitaja ,je afanye biashara ipi?
Teh [emoji124] [emoji124]smart people act dumb to get what they want....
Sure,Hahaha hapa ndo nawakubali watu.
Kwa kifupi hakuna boashara rahisi.
Hizo za nafaka wapo wanao lia kwa sasa, kuna mtu ana mgahawa analia kuna mtu ana bucha atakuambia Nyama haiendi.
Fanya kile ulicho na mapenzi nacho wewe kama wewe na sio mwingine.
Biashara zote zinahitaji commitemnt na pia hapo Inovations.
FANYA BIASHARA UKILENGA KUTATUA CHANGAMOTO UNAZO ZIONA KWENYE JAMII.
Ukisubili mtu akuambie cha kufanya inakula kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Badilisha ilo jina la sizonje.Wakuu,
Nilianzisha biashara ya nguo lakini soko limekuwa gumu sana nilikuwa nachukua nguo K/koo napeleka mikoani hasahasa Morogoro ila biashara ni ngumu huko mzigo hautembei kabisa mauzo madogo mpaka pesa inaishia kwenye chakula, usafiri nå malazi tu.
Wakuu naomba ushauri maana kwenye akiba yangu nimebakiwa na 1,200,000 tu naombeni ushauri nifanye biashara gani kwa sasa itakayonitoa, maana hata sielewi.
Sizonje madawa
Kwa nini mkuu
Ilo jina umelitoa wapi.majina mengine kwa. Biashara sio mazuriKwa nini mkuu
sizonjemadawa
Duh