Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Ni shida kweli na hao wakala wa vipimo sidhani ka wanaajiri mikoani tofauti na walio kwenye miradi. Shida binafsi huwa ni contract fupi na serikali security ya kazi ila unakuwa maskini wallah.Hahahaaa we fikiria ukabidhiwe trekta la kupeleka takataka Pugu mshahara lak3 halaf wenzako wanasukuma VXR V8 ya bosi kila wiki safari anakula nyt za hata ef60 tu lazima kazi iwe chungu
Sasa wewe huoni kwenye mwendokasi unalipwa vizuri, weee jamaa veeepe? au una uhakika huko serikalini utamwendesha bosi kuu uwe unakula night kama yeye...Nimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa!
Wanabodi mimi ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na Mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month .
Wandugu kwa sasa nimevurugwa kwan baada ya interview iliyohusisha watu 760 ambao tuliomba kazi wakala wa vipimo tumepenya na kuajiriwa 57 tuu.
Nimepewa barua Jana napaswa kuripoti kituon kuanzaia 2/7 sasa aisee mbona hii salary Jau!? Yaani nipo kipindi kigumu wandugu hebu wenye uzoefu nisaidieni hill!?
Kiukweli napata wakati mgumu sana barua ninayo ila naipenda ajira za Serikali tatizo hiyo salary!?
Naomba ushauri.
Na hiki ndo kinawafanya watumishi wengi wanabaki maskini, hadi anastaafu ni full kumanga manga, mimi nimeshaliona hili na fursa nyingine ya mkopo nitajipanga na vimiradi......potelea pwete.Security ya ajira ni ujinga ambao unawaponza wengi
Kuna jamaa zangu yaani marafiki 3 nilikuwa nao job kitengo na ofisi moja.Angalia na benefits pia sio kiasi cha pesa tu mkuu...!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Majungu tenaNani kakwambia serikalini watu wanategemea mishahara??
Tena kwa kazi yq dereva yani unakuwa na per diem za kulala nje ya ndoa kibao ni wewe tu juhudi zako za kusuka majungu uwe unasafiri safiri zaidi ya wenzako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acheni kumjaza mwenzenu ujinga...uache laki nane ukimbilie laki tatu..ukikatwa hiyo unabaki na laki mbili...ukienda huko utakula msongo wa mawazo to your entire life. Kuhusu ishu ya perdiem wasikudanganye..perdiem inaendana na levo ya mshahara..kwa mshahara huo perdiem yako haitazidi elfu sitini..sasa upate safari ya siku tatu singida utalipwa 240,000. Ukienda huko ulipie guest, msosi, utakutana na watoto wa kiburushi..utakula nao bata..siku ya kurudi mjini utaishia kubeba machungwa na viazi hautabaki na kitu.
Ushauri wangu endelea hapo hapo mwendokasi
Duuh kwani hayo ni lazima kufanya mkuu ukienda safari, just a joke ,utakutana na watoto wa kiburushi..utakula nao bata..siku ya kurudi mjini utaishia kubeba machungwa na viazi hautabaki na kitu.
Kweli kabisa, ni kheri ufanye kazi muda mfupi malipo mazuri kuliko muda mrefu( miaka nenda rudi) kwa masirahi kiduchu kisa job security. Kwanza inafikia hatua ubongo una dumaa, haufikirii out the box, kwa ka utafiti kangu kadogo, watu wengi wanaoajiliwa on contract basis (renewal) ufanya ya maana sana tofauti na wale wa kwenye parmanent contract, yaana mtu anastaafu ndo anafikiria kuanza kuwekeza.Security ya ajira ni ujinga ambao unawaponza wengi
Nimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa!
Wanabodi mimi ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na Mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month .
Wandugu kwa sasa nimevurugwa kwan baada ya interview iliyohusisha watu 760 ambao tuliomba kazi wakala wa vipimo tumepenya na kuajiriwa 57 tuu.
Nimepewa barua Jana napaswa kuripoti kituon kuanzaia 2/7 sasa aisee mbona hii salary Jau!? Yaani nipo kipindi kigumu wandugu hebu wenye uzoefu nisaidieni hill!?
Kiukweli napata wakati mgumu sana barua ninayo ila naipenda ajira za Serikali tatizo hiyo salary!?
Naomba ushauri.
Mshahara laki 3 halafu akakope mamilioni ? unajua hata kukopa huko serikalini kuna viwango vyake kutokana na mshahara wako ulivyo? na kama kazi ya mkataba mwaka mmoja mmoja hata kukopa benki asahau ni maumivu tuMkuu una uhakika na unachokisema kuwa per diem inaendana na ngazi ya mshahara ndugu...?
Na pia unafahamu kuwa mwenye ajira serikalini anakopesheka mamilioni ya shilingi mkuu...?
NENDA HARAKA SERIKALINI, KUNA KITU KINAITWA JOB SECURITY KWA WATUMISH WA SERIKALI, AMBAPO ITAKULINDA HADI KU STAFF KWAKO.
Madereva wa serikal wana mishahara midogo ila wana malulupu mengi unaweza kufikisha hata posho ya Million Moja kwa mwezi...
Hao mwendokasi sio wakuwaamini kesho na kesho kutwa hawapo...
Mi namshauri aende tu hua mishahara kila mwaka hupanda,huu ni utawala mpya wa mama Samia
Hahahahaaa madereva wanapigana misumari balaa. Ukiwa dereva wa tengo lenye safari sana unaula wakuone unajenga au mnapatana na boss wako lazima ule majungu sana mpaka ukabidhiwe trekta la idara
Wakala wa vipimo si wale wanapita kwenye maduka na mabucha kukagua mizani na kukamata waliochakachua? Wale wakipiga round hawakosi hela.
Ni kweli mkuu, Serikalini bila majungu na unafiki maisha hayaendi!!🤣🤣Nani kakwambia serikalini watu wanategemea mishahara??
Tena kwa kazi yq dereva yani unakuwa na per diem za kulala nje ya ndoa kibao ni wewe tu juhudi zako za kusuka majungu uwe unasafiri safiri zaidi ya wenzako😂😂😂😂😂
51 Private owned 49 governmentKwani mwendokasi sio serikalini?
Ni kampuni binafsi?
Msimusikilize uyu ni motivation spikaDole gumba. Niliachana na mawazo ya kijinga ya security ya kazi zamani sana. Na wala sijawahi kujuta. Kuna sehemu ukifanya kazi miaka 5 unatapa hela yote ambayo ungeisotea serikalini kwa miaka 15-20. Sasa kwa nini ukae huko serikalini kwa miaka 20 wkt kuna nafasi ya kupata hiyo pesa ktk miaka 5? Siyo ujinga huo ni nini? Na wakati natoka serikalini, kaka yangu alitoa machozi akifikiri napotea njia! Yeye yuko serikalini kwenye security miaka nenda rudi lakini amechakaa sana. Hana msaada wowote kwenye familia yetu pamoja kuwa na security ya kazi. Karibu anastaafu sasa.