Wewe ni muongo Sana una ndugu gani wewe Mimi nisiemjua?Fata ushauri wa huyu jamaa.
Nikupe mfano kuna ndg yng anafanya kazi serikalini analipwa 350k Ila anajenga na ana gar yake nzuri tuu. Na security ya kazi. Kama ni permanent kapige kazi kama ni ya muda acha acha acha
Mwalimu wa primary tu wapo wanakunya laki 8 na 90 tena mwalimu mkuu na posho ya madaraka ivi huwa mnatoa wapi izo data?Mkuu,tatizo watanzania wengi tunapenda kutengenezewa fursa,yaani mtu atengeneze Jambo la faida halafu akunufaishe wewe kirahisi ...
800k per month yaan Ni zaidi ya mwalimu mwenye digrii
Wewe ni tapeliInategemea na taasisi uliyopo kiongozi kama hapa nilipo mimi ni driver na nalamba 1.2m kiongozi...!
Kuna sehemu driver anakula mpaka 3m acha kabisa chief...!
Ushawahi kuwa dereva?Nenda serikalini madereva wana fursa kuliko maafisa. Madereva safari ni nyingi mshahara hawagusi.
Chai hii, hukujua mshahara kabla ya kuomba?Nimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa!
Wanabodi mimi ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na Mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month
Hahahaaa wanangu sana hao nawajua mambo yao na nishayaendesha sana. Yani mie kwenye udereva nishapitia sehem nyingi sana
Nawajua siku hizi hadi SM,SU zina vimulimuli mbele dah
[emoji16][emoji16][emoji16]Wewe ni tapeli
Kama unapata NHIF na PSSSF hizo ni benefits nzuri, nenda serikalini.Nimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa!
Wanabodi mimi ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na Mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month .
Wandugu kwa sasa nimevurugwa kwan baada ya interview iliyohusisha watu 760 ambao tuliomba kazi wakala wa vipimo tumepenya na kuajiriwa 57 tu.
Nimepewa barua Jana napaswa kuripoti kituon kuanzaia 2/7 sasa aisee mbona hii salary Jau!? Yaani nipo kipindi kigumu wandugu hebu wenye uzoefu nisaidieni hill!?
Kiukweli napata wakati mgumu sana barua ninayo ila naipenda ajira za Serikali tatizo hiyo salary!?
Naomba ushauri.
Kuajiriwa hakujawahi kumuacha mtu salamaNa hiki ndo kinawafanya watumishi wengi wanabaki maskini, hadi anastaafu ni full kumanga manga, mimi nimeshaliona hili na fursa nyingine ya mkopo nitajipanga na vimiradi......potelea pwete.
Lete connection....Kuajiriwa hakujawahi kumuacha mtu salama
Ngoja nijitazame tens[emoji848]
Umesema vemaMadareva weng huwa hawategemei mishahara yao, most huwa na night nying Sana. Nakushaur jarib kufanya utafit kwanza kuhusu Kaz ya Sasa na hyo awali. Unaweza kupata kituuuu mkuu.
Connection ni majanga balaa[emoji22]Lete connection....
Acheni kumjaza mwenzenu ujinga...uache laki nane ukimbilie laki tatu..ukikatwa hiyo unabaki na laki mbili...ukienda huko utakula msongo wa mawazo to your entire life.
Kuhusu ishu ya perdiem wasikudanganye..perdiem inaendana na levo ya mshahara..kwa mshahara huo perdiem yako haitazidi elfu sitini..sasa upate safari ya siku tatu singida utalipwa 240,000.
Ukienda huko ulipie guest, msosi, utakutana na watoto wa kiburushi..utakula nao bata..siku ya kurudi mjini utaishia kubeba machungwa na viazi hautabaki na kitu.
Ushauri wangu endelea hapo hapo mwendokasi
Sie ngozi nyeusi tuna shida sana, wakati mwingine hata mfanyakazi tu unakuta mtu anamfanyia mwenzie figisu huku hata elimu anazidiwa !Hahahahaaa madereva wanapigana misumari balaa. Ukiwa dereva wa tengo lenye safari sana unaula wakuone unajenga au mnapatana na boss wako lazima ule majungu sana mpaka ukabidhiwe trekta la idara