MSAADA: Nimepata kazi Serikalini dereva ila mshahara mdogo kuliko wa Mwendokasi ninakofanya kazi sasa. Nimechanganyikiwa!

Mdogo wangu mmoja ivi alipata udereva serikalini
Akapiga chini private

Now naona anazunguka tu DC
[emoji23][emoji23]
Kavimba mishavu aiseeh
Kavimba mashavu kwa bata au kwa safura?
 
Hakuna mfanya wa serikalini anayetegemea mshahara vumilia mwanzo mgumu,utaelewa wenzio kwa huo huo Mdogo mbona Wana vitambi
 
Jiongezewe wewe nunua kipande cha gardeng pipe tafuta na dumu tupu la 20ltrs.
Usiulize vya nini.
 
Kuajiriwa hakujawahi kumuacha mtu salama

Ngoja nijitazame tena[emoji848]
Tafiti nyingi zinaonesha kuwa hakuna tajiri duniani aliyetajirika kwa ajili ya Mshahara.Mimi nimeajiriwa lakini najuta...Mind set inabaki mwisho. wa mwezi so huwezi kufanya Moshe nyingine na asilimia kubwa waajiri wanawabana sana waajiriwa wao. I doubt! Kama unaishi Dar mjomba laki taking 3 usipopata marupu rupu utaikimbia familia! Usisikilize ushauri wa humu Baku na laki nane yako
 
Mshahara laki 3, vigezo gani vya hali ya maisha vinatumiwa serikalini?
 

[emoji23][emoji23][emoji23] noma sana mkuu
 
Naku ~Zoom 😆😅😄😃😂😁😀😃😂
 
Security ya ajira ni ujinga ambao unawaponza wengi

Yani unalipwa kidogo kisa kuna security? Niliondoka serikalini pasipo kujali hiyo security, na sasa nilipo sijuti kuacha kazi serikalini. Tumetumwa hela mazee
 
Yani unalipwa kidogo kisa kuna security? Niliondoka serikalini pasipo kujali hiyo security, na sasa nilipo sijuti kuacha kazi serikalini. Tumetumwa hela mazee
Kinatuuwa Wengine Ni Huo Ujinga Wa Security
Wakati Huna Unachopata Cha Maana Miaka Inakwenda
Shida Tupu,Bora Uliliona Mapema Hili
Asilimia Kubwa Serikalini Ni Ndege Tunduni
 
Kinatuuwa Wengine Ni Huo Ujinga Wa Security
Wakati Huna Unachopata Cha Maana Miaka Inakwenda
Shida Tupu,Bora Uliliona Mapema Hili
Asilimia Kubwa Serikalini Ni Ndege Tunduni

Yani mishahara haikutani [emoji23] ikifika tarehe 15 uko apeche alolo unatembelea rim, ukiuliza eti kuna security [emoji849] security my foot [emoji3097]!!! Nilisepa mie japo nilisota sana kitaa bila kazi but eventually ilikuja kupatikana ingine
 
Umeongea vile inatakiwa kusemwa.

Huko serikalulini ni bahati nasibu.
 

Acha uongo, per diem kwa madereva hata awe wa kiwango cha chini akienda mkoani ni Sh 80,000/- kwa night moja! Tuulize sisi wenye madereva hapa ofisini.
 
Huonekani kwenye uzi wako.

Tar. 2/7 ishapita utakua usha fanya uamuzi labda na kazini usharipoti.

Haya tujulishe umechagua wapi na kwa nini.
 
Acha uongo, per diem kwa madereva hata awe wa kiwango cha chini akienda mkoani ni Sh 80,000/- kwa night moja! Tuulize sisi wenye madereva hapa ofisini.
Unafikiri kila taasisi wanalipa hivyo?
 
...Yaani uache Laki Nane uende Kwenye Laki Tat???
Mbona naona hili kama linahitaji tu Akili binafsi na sio la kutafuta!!!
Labda tu kama una lingine unataka kutujulisha hapo, kama hilo la kwamba una Kazi lakini umepata Kazi nyingine!! [emoji16]
Shukuru
 
Akili za kuambiwa changanya na za kwako Mkuu, nadhani umeshauriwa sana itoshe kusema chaguo ni lako Serikalini kweli kuna hiyo job security na perdiem zipo kweli japo itategemea na Mkuu wa Idara/Kitengo utakachopangiwa na kumbuka hizo perdiem zinalipwa kutokana na ngazi yako ya mshahara. Huwezi linganisha Driver wa DMO na Driver wa Afisa Maliasili/Nyuki its obviously wa DMO ndio ana safari nyingi so as perdiem. So hapa ni wewe tu kuiacha hiyo 800,000 per month na kuhamia huko nilikojaribu kuelezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…