ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hakuna pumba
Dada nifah. Kwangu hili tukio lilikuwa linatengeneza history labda sitaona Tena lingine.. Hata hivo mwishoni nimegundua hakuna la ajabu kubwa Sana. Sio umbea lakiniUmbea umekuponza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi poleeeeDada nifah. Kwangu hili tukio lilikuwa linatengeneza history labda sitaona Tena lingine.. Hata hivo mwishoni nimegundua hakuna la ajabu kubwa Sana. Sio umbea lakini
Mbona umeandika vizuri mkuu... Tena pasipo kukosea maneno na herufi...ety macho yang yameharbka.. Khaaaaa Acha madhara ya mwendokasi mkuu.Nilikuwa natazama juu kipindi mwanga unapotea. Sasa naona macho yangu yameharibika hata mishipa ya juu imevimba.. Msaada nini nifanya cha Haruka. Naogopa kupofiukA
Macho yako nayo yamepatwa subiri mwezi utokeNilikuwa natazama juu kipindi mwanga unapotea. Sasa naona macho yangu yameharibika hata mishipa ya juu imevimba.. Msaada nini nifanya cha Haruka. Naogopa kupofiukA
Ultraviolet rays si mchezo na ungeendelea kuangalia ungepoteza uwezo wako wakuonaNilikuwa natazama juu kipindi mwanga unapotea. Sasa naona macho yangu yameharibika hata mishipa ya juu imevimba.. Msaada nini nifanya cha Haruka. Naogopa kupofiukA
Umbea umekuponza