Msaada: Nimepata tenda ya mapishi

hajo

Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
38
Reaction score
20
Wapishi nawasalimia

Naomba msaada wa haraka nimepata tenda. Ila wanataka niwe certified na w/ya temeke na mimi ni mpishi mdogo tu ndio kwanza nieanza anza kwa yeyote anayeweza nisaidia hata kunipa muongozo!

Natanguliza shukrani!
 
Wapishi nawasalimia

Naomba msaada wa haraka nimepata tenda
Ila wanataka niwe certified na w/ya temeke,
Na.mimi ni mpishi mdogo tu ndio kwanza nieanza anza kwa yeyote anayeweza nisaidia hata kunipa muongozo! Natanguliza shukrani!
siina ujuzi kwenye hili suala ila nahisi ukienda kwenye ofisi za mkuu wa wilaya unaweza kupata muongozo kwamba ili mtu aweze kuwa certified unapita njia gani...pia ndugu yako mimi kama unahitaji mtu wa kukusaidia pilika naomba kazi namba yangu 0658899501
 
Nenda huko ofisini kwao, ila jiandae na 10 pasenti wana njaa sana watumishi wa uma😂
 
Kingine hata ukifanikiwa kuanza jiandae na uvumilivu wa malipo ya serikali, unaweza gombana na kila mtu dunia hii kwa tender za gavamenti,
 
Wapishi nawasalimia

Naomba msaada wa haraka nimepata tenda. Ila wanataka niwe certified na w/ya temeke na mimi ni mpishi mdogo tu ndio kwanza nieanza anza kwa yeyote anayeweza nisaidia hata kunipa muongozo!

Natanguliza shukrani!
Nenda manispaa ulizia ila usiseme umepata tenda. Sema unataka upate kibari ili uombee kazi. Ungeweza hata kuanzia ofisi ya kata kumuuliza afisa maendeleo ya jamii
 
Nawashukuru sana kesho nitaenda kupata muongozo!
 
Tuombe kheri ndugu yangu Mungu afanye wepesi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…