MSAADA; Nimepewa barua ya kumaliza mkataba na kuambiwa kuna uwezekano wa kutoendelea na kazi

Kijana ukiajiriwa unatakiwa ufanye kazi, yaani upige mzigo hadi bosi akiona kutokuwepo kwako kwa siku moja tu ni pigo kwa kampuni/taasisi hapo bosi lazma akuongezee mkataba bila kupenda...

Lakini kama unafika ofisini unaenda kuangalia chura za mademu na kumaliza unity za luku kwa kula kiyoyozi kamwe boss hawezi kukuongeza mkataba sahau hilo.....
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkataba umeisha kiroho safi. Kisheria it is over . dai haki zako- likizo zisizochukuliwa, gratuity, certificate of service, na chochote unachodai kisheria muagane salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…