Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 877
- 981
Report kwa afisa rasilimali watu wilaya, akiwa mzito muone mkurugenzi kabisaWakuu nimepewa barua ya uhamisho na nikaambiwa niandike barua ya kuomba kufungiwa data sheet, nimefanya hivyo lakini hawataki kunifungia Datasheet niweze kuondoka, ni siku 7 sasa tangu niandike barua ya datasheet , Kwa wazoefu waliowahi kukumbana na hili mlichukua uamuzi Gani ???, nipo Halmashauri kada ya Elimu ,
SawaReport kwa afisa rasilimali watu wilaya, akiwa mzito muone mkurugenzi kabisa
Unaumia ukiwa wapi?Uhamisho wa mchongo , mkome tulioomba kawaida wamekalia maombi yetu nyie mnaojifanya mna pesa mnapewa kwa mgongo wa nyuma kibali Cha uhamisho kimetoka lini na hio orodha ya majina Iko wapi
Msitupotezee muda humu huyo aliyekupa barua ya uhamisho wa mchongo ndo akushauri
Acha makasiriko kwenye mafanikio ya watuUhamisho wa mchongo , mkome tulioomba kawaida wamekalia maombi yetu nyie mnaojifanya mna pesa mnapewa kwa mgongo wa nyuma kibali Cha uhamisho kimetoka lini na hio orodha ya majina Iko wapi
Msitupotezee muda humu huyo aliyekupa barua ya uhamisho wa mchongo ndo akushauri
Muone Mkurugenzi mana huyo atakuwa utumishi ndo anakwamisha hapoWakuu nimepewa barua ya uhamisho na nikaambiwa niandike barua ya kuomba kufungiwa data sheet, nimefanya hivyo lakini hawataki kunifungia Datasheet niweze kuondoka, ni siku 7 sasa tangu niandike barua ya datasheet , Kwa wazoefu waliowahi kukumbana na hili mlichukua uamuzi Gani ???, nipo Halmashauri kada ya Elimu ,
Acha makasiriko. Omba connection usaidiwe, haki ni mbinguni.Uhamisho wa mchongo , mkome tulioomba kawaida wamekalia maombi yetu nyie mnaojifanya mna pesa mnapewa kwa mgongo wa nyuma kibali Cha uhamisho kimetoka lini na hio orodha ya majina Iko wapi
Msitupotezee muda humu huyo aliyekupa barua ya uhamisho wa mchongo ndo akushauri
Straight kwa mkurugenzi wako umsikie anasemaje. Akileta nyeusi Straight to RAS.Wakuu nimepewa barua ya uhamisho na nikaambiwa niandike barua ya kuomba kufungiwa data sheet, nimefanya hivyo lakini hawataki kunifungia Datasheet niweze kuondoka, ni siku 7 sasa tangu niandike barua ya datasheet , Kwa wazoefu waliowahi kukumbana na hili mlichukua uamuzi Gani ???, nipo Halmashauri kada ya Elimu ,
Asante mkuu ushauri mzuri nimepokeaStraight kwa mkurugenzi wako umsikie anasemaje. Akileta nyeusi Straight to RAS.
Hawana mamlaka ya kukuzuia na una barua iliyo juu ya mamlaka yao.
Nae akileta nyeusi...nitakushauri pa kuruka.
Uhamisho wa mchongo , mkome tulioomba kawaida wamekalia maombi yetu nyie mnaojifanya mna pesa mnapewa kwa mgongo wa nyuma kibali Cha uhamisho kimetoka lini na hio orodha ya majina Iko wapi
Msitupotezee muda humu huyo aliyekupa barua ya uhamisho wa mchongo ndo akushauri
Mtoa mada atoe 10 au 20 ampe wa masijala fastaaa mbona.
ππππ
πππMtoa mada atoe 10 au 20 ampe wa masijala fastaaa mbona.
Kwenye ofisi za watu Sometimes ni kujuongeza otherwise utakwama mambo yako
Ndoivoπππ
Ushauri mzuri nimepokea MkuuKama umepata kibali kwa namna Fulani tuliza wenge utajikuta unajuta milele. Safisha njia kwa vipande vya misimbazi.
Kama kibali kimekuja kwa kawaida, kapige konyagi ndogo, Serengeti 3 na nusu kitimoto Kisha ulete varangati kwa anayekuzingua. Hata kufanya chochote ticha, lazima akupe makorokoro yako unayotaka.
Ova
Tupunguza hasira,Uhamisho wa mchongo , mkome tulioomba kawaida wamekalia maombi yetu nyie mnaojifanya mna pesa mnapewa kwa mgongo wa nyuma kibali Cha uhamisho kimetoka lini na hio orodha ya majina Iko wapi
Msitupotezee muda humu huyo aliyekupa barua ya uhamisho wa mchongo ndo akushauri