Watu wanahama Kwa pesa sio Kwa sababu wanapenda lakini uhamisho umekuwa mgumu na umetengenezewa mazingira ya rushwa sana , tulipo ona ESS tukafikiri tumepona lakini Bado Kuna watendaji (maboss zetu ) wanataka rushwa ndio maana ata kama unavigezo vya kupata uhamisho kwenye mfumo wanaangalia tu maombi yako mfano hiyo wilaya ya Nkasi