DOKEZO
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 322
- 496
Habari wakuu!
Nilikuwa nabust gari ndogo ingine IST, sasa baada ya hiyo gari kuwaka wakati nachomoa zile nyaya kwenye upande mmoja,bahati mbaya nikazigusanisha nyaya huku kwenye ile gari ya Vitz zikiwa bado zipo kwenye betri. Gari nyaya zikatoa cheche na ikazima hapo hapo.Tukajaribu kuiwasha haikuwaka kwa muda ule. Sasa tulikuwa na haraka ya kuondoka nikasema nitaishughulikia kesho.
Je kuna tatizo litakuwa ni betri nimeliua au starter nishaiunguza?