Ujue gari imetengenezwa ina such a way vifaa vya umeme vijichotee/vijipimie current ya umeme kulingana na mahitaji yake.Habari wakuu!
Nilikuwa nabust gari ndogo ingine IST, sasa baada ya hiyo gari kuwaka wakati nachomoa zile nyaya kwenye upande mmoja,bahati mbaya nikazigusanisha nyaya huku kwenye ile gari ya Vitz zikiwa bado zipo kwenye betri. Gari nyaya zikatoa cheche na ikazima hapo hapo.Tukajaribu kuiwasha haikuwaka kwa muda ule. Sasa tulikuwa na haraka ya kuondoka nikasema nitaishughulikia kesho.
Je kuna tatizo litakuwa ni betri nimeliua au starter nishaiunguza?
Mrejesho? Ulifanikiwa kubadilisha control boxHabari wakuu!
Nilikuwa nabust gari ndogo ingine IST, sasa baada ya hiyo gari kuwaka wakati nachomoa zile nyaya kwenye upande mmoja,bahati mbaya nikazigusanisha nyaya huku kwenye ile gari ya Vitz zikiwa bado zipo kwenye betri. Gari nyaya zikatoa cheche na ikazima hapo hapo.Tukajaribu kuiwasha haikuwaka kwa muda ule. Sasa tulikuwa na haraka ya kuondoka nikasema nitaishughulikia kesho.
Je kuna tatizo litakuwa ni betri nimeliua au starter nishaiunguza?
Mrejesho? Ulifanikiwa kubadilisha control box
Hua ni fuse tu...MREJESHO:
Asante kwa wote ambao mlinipa ushauri wenu. Ila baada ya kumwita fundi umeme na kucheki,aligundua kuna fuse zimeungua hivyo tukafanya mpango wa kuzibadilisha na gari ikarudi kwenye utendaji wake kama kawaida na mpaka leo gari inatembea vizuri bila tatizo
Siku nyingine uwe makini.MREJESHO: