Kula asali nyingi inshallah Allah atakupawepesi
Hii mimba yako ya kwanza??Yeah ni kweli hiyo ndio ilikuwa makadirio
Hii mimba yako ya kwanza??
Mimba ya pili na ya tatu ilikuaje? Ulichelewa pia?Mimba ya tatu,ya kwanza nina mtoto ana miaka 6 ya pili ilitoka ikiwa na mwezi 1 mwaka jana november ya tatu ndio hii,ya kwanza nilijifungua on time tarehe ile ile ya makadirio
hongera mwaya,mungu amjalie afya njema mwanaoAsanteni wote wana jamii forum mlionisaidia mawazo na ushauri pia,nimejishajifungua salama kwa njia tu ya kawaida shukran na utukufu ni kwa muumba