naomba kujua nimepoteza akaunti yangu ya ajira na niliombea kazi kwa kutumia NIN sasa nikijaribu haikubali isitoshe zile namba pale zilizoandikwa dawati la malalamiko hazipatikani wala kupokelewa
Ajira Portal au wapi? Kama ajira Portal ukitaka kulogin SI wanakuomba username au email Sasa hapo Kuna sehemu ya forgot password watakuomba email then wanakutumia linki kwenye email yako ya kuwekaa password mpya