Msaada nimepoteza vyeti

juliusJr

Senior Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
180
Reaction score
61
Habari wanazengo mmeamkaje

Kijana wenu nimepata changamoto kidogo nimepoteza bahasha yangu yenye vyeti vyangu na kiukweli sijui nime misplace wapi bahasha ilikua na cheti cha form original ila nina result slip yake na cheti cha form six original na chet cha kuzaliwa original cha kuzaliwa sio issue sana maana naweza fatilia Rita nikapata napenda kujua hivyo vyeti viwili navipataje na je NECTA wana utaratibu wakutoa vyeti vingine wana jamavi na je kama kuna utaratibu naanzia wapi nikipata loss report kutoka polisi naombeni msaada wenu maana kuna mahala nafatilia kazi na wanahitaji izo documents
 
Dah! Pole sana, ngoja wajuvi waje..
 
Mimi Nadhani ukafuatilie huko huko necta wao si ndio wanauhusika na mambo hayo?

Nanda huko watakushauri vizuri
 
fuata rataribu kama zilivyo elezwa katika nakala hii
 

Attachments

Asee vigezo vyote nimetimiza laikin kupata cheti kaka mtihani hawatoi tena og wanakupa notificaiton of results basi
 
Asee vigezo vyote nimetimiza laikin kupata cheti kaka mtihani hawatoi tena og wanakupa notificaiton of results basi
wanatoa cheti mbadala.. ni laki moja baada ya kutoa report polisi then unatangaza kwenye gazeti la serikali then unaenda na hzo document necta... baada ya hapo unasubilia kutengenezewa cheti mbadala.... m nlisubiria kama miezi kumi hivi ndo kilitoka.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…