Msaada, nimepotezana na member nisiyemjua

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,576
Reaction score
20,183
kuna mtu niliongea nae pm kuhusu habari ya mafriji tukapeana namba sasa akanitext nakunitumia namba na kunionesha sample katika wasap sasa
SINA NAMBA YAKE NA SIMU NILIPOTEa na SIKUMBUKI ID YAKE KWANI MUDA UMESHAPITA SANA

Naomba kama unanisoma muda huu uje inbox tumalize ile biashara
 
daah yaani nimemtafuta pm kutwa sijamuona aisee
 
Usije kunisahau na mm mkuu?
 
Usije kunisahau na mm mkuu?

sikusahau mkuu

sema ile tenda kuna mtu alinizunguka tungepig hela ya hatari ngoja nifatilie tena

yaani nilipata za wanafunzi somewea alafu katika hapa na pale jamaa yangu akawahi akapiga mpunga

ila najaribu kufatiloa nyingine kwa mwakani maana hizo zilikua ni form 5 wanaoingia
ngoja tuwait kama nitapata ya form one mwakani
 
Mie Baby Common Pm Please,Aisee mama yeyoo umempotesa baba yeyoo humu aithee wewe.
Ukimosa humu nenda Motuary,asije kuwa huyo mwenye Toyo aliegongwa
 
Usijali best nakutakia kila la kheri
 

Hata kama simu imepotea, lakini si PM zinabaki kwa profile yako regardless ukilog-in kwa simu au computer ingine?

Au nazo ulifuta??
 
Hata kama simu imepotea, lakini si PM zinabaki kwa profile yako regardless ukilog-in kwa simu au computer ingine?

Au nazo ulifuta??

nishampata shukrani
 

ulifuta pm mlizokuwa mnachat?

kama hujafuta pitia conversation za sent na inbox.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…