Msaada nimesahau password ya account yangu ya kuomba ajira

Msaada nimesahau password ya account yangu ya kuomba ajira

Northern empire

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2019
Posts
358
Reaction score
459
Habari zenu ndugu,

Naomba msaada kwa anaefaham, nilikuwa mwaka Jana nikiomba ajira za ualim sikubahatika . Sasa ajira hizi zilizotagazwa nimejarib kuomba ila wanahitaji account ile ile Sasa password nimeisahau na kila nikijarib inakataa. Nikienda kwenye forgot password najaza taarifa lakin inakataa. Nikiwapigia tamisemi hawapokei.

Naomba msaada nifanyeje?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tumia computer au nenda stationary au cafe watakusaidia maana wao hukumbana na changamoto hizo Mara nyingi. Unaporeset password unatokea ujumbe gani?
 
huu uzi kama ungeeendelea ungesaidia wengi sana
wajuzi mlioexpiriensi hili swala na mkalipatia ufumbuzi mje
 
Habari naomba msaada kwaambae kafanikiwa kureset paswed ajira portal anambia namm nachangamoto io
 
Back
Top Bottom