Naomba msaada kwa anaefaham, nilikuwa mwaka Jana nikiomba ajira za ualim sikubahatika . Sasa ajira hizi zilizotagazwa nimejarib kuomba ila wanahitaji account ile ile Sasa password nimeisahau na kila nikijarib inakataa. Nikienda kwenye forgot password najaza taarifa lakin inakataa. Nikiwapigia tamisemi hawapokei.