King Tembo
Senior Member
- Aug 29, 2017
- 124
- 68
Jamn naombei mnisaidie namna naweza kuzipata password zangu manake nmezisahau mpak naogopa kulog out na ninampango wa kubadilisha simu na hii account yangu nishaizoea naombei mnisaidie namna ya kuzipata