Msaada nimesahau password yangu ya kuingia jf

King Tembo

Senior Member
Joined
Aug 29, 2017
Posts
124
Reaction score
68
Jamn naombei mnisaidie namna naweza kuzipata password zangu manake nmezisahau mpak naogopa kulog out na ninampango wa kubadilisha simu na hii account yangu nishaizoea naombei mnisaidie namna ya kuzipata
 
Mi sijui km naikumbuka nahisi nikibadili simu ndo Utakua mwsho wangu wa kuwa member jamii forum
 
Jamn naombei mnisaidie namna naweza kuzipata password zangu manake nmezisahau mpak naogopa kulog out na ninampango wa kubadilisha simu na hii account yangu nishaizoea naombei mnisaidie namna ya kuzipata
Wasilisha suala lako PM mkuu. Tutakupatia msaada wa haraka.
Karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…