tisa desemba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 434
- 115
kumbe wewe kiongozi wa kijiji? pesa mnazopewa mnazitumia vizuri kwa wananchi wenu au unajifaidisha na familia yako?
ndio ni mimi kiongozi wa kijiji (kitongoji) hoja ya fedha za wananchi zinatumikaje sio mda wake sasahivi, hata hivyo wapo wakaguzi wenye wajibu wa kujua zimetumikaje, kwa sasa tujadili issue niliyoiombea MSAADA, ndio ninamfahamu aliyenitukana kwenye hizo meseji, amenitukana baada ya kumzuia kulima shamba lenye mgogoro wa umiliki, ningependa kujua je, sheria inasemaje mtu anapokutukana (sio vitisho) kwenye meseji za simu, ni ushahidi gani unaohitajika zaidi ili kumtia hatiani mtuhumiwa, na je kosa kama hili mtuhumiwa anaweza kupewa adhabu ya ukubwa gani na mahakama.... msaada
kwani kuna kosa kwa member kuomba msaada hapa jamvini, wewe ni jf senior expert member, nilitegemea unapo'reply issue yoyote uta'reply as senior expert member (experienced and knowledgeable), anyway hapa hatupigi siasa, hapa ni professionals chamber kama hujui mambo ya sheria achia wengine watusaidie JF IS OUR FREE SCHOOL... nashukuru kwa walionisaidia na walioni'challenge kwa hoja.We kila siku msaada msaada watakuomba msaada kwenye tuta watchout