Msaada: Nimetumiwa verification code nisiyoielewa

Kipenseli

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
825
Reaction score
1,074
Wakuu naomba kufahamu, nimetumiwa text na Hawa jamaa kukiwa na verification code as if nimerequest process mahali Fulani, je itakua kampuni gani?

vd5mu8.jpg
 
Kwa hali inavyoendelea serikali isipokuwa makini watatokea hackers wabobezi zitapigwa hela ama tutaishi kama mashetani kwa kukatiwa maji na umeme nchi nzima!, Tunaishi kwenye dunia ya tech watu wamevurugwa na watataka kuonyesha vurugu zao!
 
Wakuu naomba kufahamu, nimetumiwa text na Hawa jamaa kukiwa na verification code as if nimerequest process mahali Fulani, je itakua kampuni gani?
Huenda taarifa zako binafsi zimetumika na Wahalifu wa mitandaoni katika kujisajili kwenye jambo fulani fulani katika shughuli za kiuhalifu. Chunguza kwa umakini Sana juu ya suala hili, unaweza kuja kugundua jambo fulani.

Ifute haraka kama hujai request

Asifute ujumbe husika, isipokuwa anapaswa achukue tahadhari kubwa sana ya kutofuata maagizo ya Mtu huyo aliyemtumia huo ujumbe.
Anapaswa achunguze kiini hasa Cha kutumiwa ujumbe huko.

Asi-click Link za ujumbe aliotumiwa.

NB: Tahadhari za kiusalama mtandaoni: Kuna janga la IDENTITY THEFT humu mtandaoni. Be very careful.
 
Yes ndo ninachotaka kufahamu, je jumbe umetokea wapi? Ni jina tuupu halina namba yeyote
 
Back
Top Bottom