Msaada: Nimeugua mara kadhaa magonjwa ya zinaa na sasa kuna mabadiliko ya maumbile yanatokea katika nyeti zangu

Nenda hospitali tu mkuu

Humu utaambulia kubezwa kuchekwa kutukanwa na ushauri kidogo.

Punguza zinaa lakini
 
Ni kweli nilikua nanunua sana wanawake halafu naenda pekupeku,nilikua pia mfalme wa chaputa ila saivi vyote nimeacha tangia huu mwaka uanze.je kuna uwezekano wa kurudi Hali ya kawaida?
Kama uyasemayo ni kweli, inasikitisha sana unanunua wanawake kwa nini usiwe na wa kudumu ukatulia nae anyway, kwa kuwa tayari una tatizo, kaonane na daktari wanawake tuna daktari bingwa wa wanawake sijui wanaume matatizo yenu ya kiafya mnamwona yupi kila la heri mkuu.
 
Ndugu lekumok, kwa tatizo hilo unaweza wasiliana nami nipate kukusaidia utanitafuta kwa wakati wako kwa kunipigia simu ama what's app +255 655 821 550
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…