Msaada wenu Dr's humu jamani nimeungua na moto wa gas baada ya kutokea mlipuko wakati napika maeneo niliyoungua ni usoni mpaka sasa nimetumia asali pekee kama tiba ya huduma ya kwanza.
Naombeni ushauri wenu je niendelee kutumia asali pekee ama kuna dawa nyingine naweza kutumia kwa matokeo na matibabu bora zaidi.
Nawasilishahh