hey kama kuna mtu yeyote anayejua solution nimekwama hapa. Nikitumia linux, Ultimate Edition ver. 2.8,sasa jana niliupgrade,leo asubuhi nimeiwasha inaload lakini imeshindwa ku-boot na message hii inakuja: Alert! /dev/disc/by-uuid/b4adc1fc-7882-4834-ac12-ddcb52d8aa17 does not exist.
Dropping to a shell! (initramfs)_
Nimejaribu vilevile ku-run katika recovery mode imefail kuboot, na lastly inaandika (initramfs)_
so nadhani kuna commands,so how to proceed wanaJF??
Ubuntu Linux 10.10 inachukua dakika kumi, kumi na tano mwisho, kufanya fresh install, huwa sijipi ma headache meengi kwa vitu kama updating ya OS kama inagomba, format the damn the thing and overhaul the OS. Kwanza ni njia ya kusafisha computer yako na vi junk files vilivyojazana kwenye system drive.
Ni rahisi zaidi kama data huwa zimetengwa, lakini kama umerundika mazagazaga yoooote ya computer kwenye partition moja hapo tatizo, usijaribu fresh install ya haraka haraka, utaumia